Jamii zilizokuwa zikizozana Isiolo na Samburu zashirikiana kwa mavuno ya amani

  • | Citizen TV
    173 views

    Huku maswala ya fedha za kaboni ukiendelea kujadiliwa ili kueleweka na wakenya wengi, jamii za kaunti ya Isiolo na Samburu ni Miongoni mwa zilizofaidi malipo haya ya Kaboni. Mwanahabari wetu Gregory Murithi amejiunga na Jamii ya Nasuulu ilioko Mpakani mwa kaunti ya Samburu na Isiolo, ambao walikomesha vita vya kijamii na kwa sasa wanavuna mengi ya Ushirikiano wao.