Safari za ndege za moja kwa moja kutoka na kuingia Migori yaanzishwa

  • | Citizen TV
    254 views

    Shughuli za biashara na usafiri kaunti ya Migori ziarajiwa kuimarika kufuatia kuanzishwa kwa safari za ndege za moja kwa moja kutoka na kuingia uwanja wa ndege wa Lichota kaunti ya Migori