Serikali ya kaunti ya Kajiado yalenga kutenga fedha zaidi kwenye bajeti ya ziada

  • | Citizen TV
    154 views

    Serikali ya kaunti ya Kajiado inalenga kutenga fedha zaidi kwenye bajeti ya ziada ili kuwakwamua wafugaji na wakulima ambao wanazidi kulemewa na mzigo mzito wa maisha baada ya kiangazi kuwaathiri. ili kuwakwamua wafugaji na wakulima ambao wanazidi kulemewa na mzigo mzito wa maisha baada ya kiangazi kuwaathiri.