Onesmus Mwangi kutoka kaunti ya Nakuru ashinda Shabiki Kaende Jackpot

  • | Citizen TV
    111 views

    Onesmus Mwangi kutoka kaunti ya Nakuru ndie mshindi wa juma hili wa punde zaidi wa Shabiki Kaende Jackpot akipokea zawadi ya shilingi nusu milioni.