Wakaazi wa Matayos walilia nafasi za ajira

  • | Citizen TV
    114 views

    Wakazi wa Nasewa wadi ya Matayos Kusini eneo bunge la Matayos katika kaunti ya Busia, wanalalamikia kukosa ajira kwenye mradi wa ujenzi wa sehemu ya viwandani.