Wanafunzi kupata mafunzo ya kilimo Kajiado

  • | KBC Video
    17 views

    Katika juhudi za kuimarisha ustahimilivu wa athari za mabadiliko ya tabia nchi na kuhakikisha kipo chakula cha kutosha, wizara ya elimu imeshirikiana na kampuni moja ya maduka ya rejareja kuzindua kampeni ya mafunzo ya kilimo miongoni mwa wanafunzi. Mradi huo uliopewa jina ‘Kilimo Shuleni’ unalenga kuwapa wanafunzi ujuzi kuhusu kilimo cha unyunyizaiji mashamba maji na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News