Mwili wa msusi Jane Mwende wapatikana chooni

  • | Citizen TV
    17,304 views

    Msusi aliyetoweka kwa zaidi ya wiki mbili amepatikana akiwa ameuawa na maiti yake kutupwa ndani ya Choo kilomita chache kutoka alikokuwa akifanya kazi. Jane Mwende Mwanzia alitoweka mnamo tarehe 25 mwezi uliopita asionekane tena hadi leo. washukiwa walipoelekeza maafisa wa polisi hadi nyumba moja eneo la phase 3 mtaani Mlolongo huko Athi River.