Magavana wawataka madaktari kusitisha mgomo

  • | Citizen TV
    613 views

    Mwenyekiti wa baraza la magavana Anne Waiguru ameitaja mipango ya madaktari ya kugoma kuwa haifai. Waiguru akisema kuwa uchumi wa nchi hautaweza kumudu gharama ya nyongeza ya mishahara wanayotaka madaktari hao