Polisi wanawasaka majambazi wanne mtaani Embakasi

  • | Citizen TV
    4,748 views

    Majambazi wanne wanasakwa kwa kuhusika na wizi katika kanisa la Deliverance ,Mtaani Embakasi Jijini Nairobi usiku wa kuamkia leo.