Gharama ya juu ya maisha yaathiri wakenya wengi

  • | Citizen TV
    1,149 views

    Asilimia 53 ya wakenya wanahisi kuwa gharama ya juu ya maisha ni mojawapo ya masuala ambayo hayajatiliwa maanani na Rais William Ruto, ambaye ataadhimsiha mwaka moja uongozoni hapo kesho Jumatano.