| Siasa zisizoisha | Siasa za mamlaka zaendelea licha ya uchaguzi kuisha

  • | Citizen TV
    2,203 views

    Mwaka wa kwanza wa Rais William Ruto mamlakani umekumbwa na mivutano ya kisiasa baina ya muungano wa azimio na ule wa kenya kwanza. Mara kwa mara muungano wa azimio umefanya maandamano kupinga uongozi wa Rais William Ruto hatua ambayo imesababisha watu zaidi ya 72 kuaga dunia kufuatia maandamano hayo