Mahakama ya kutatua mizozo ya vyama vya kisiasa imesitisha kwa muda utekelezaji wa uamuzi wa ODM

  • | KBC Video
    55 views

    Mahakama ya kutatua mizozo ya vyama vya kisiasa imesitisha kwa muda utekelezaji wa uamuzi wa chama cha ODM wa kuwafurusha chamani humo Seneta wa Kisumu Tom Ojienda, Wabunge Elisha Odhiambo wa Gem na Felix Jalang’o Odiwuor wa Lang’ata.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive