Mabadiliko kwenye timu ya Shujaa | Kocha Wambua ateuwa wachezaji tisa wapya

  • | Citizen TV
    882 views

    Kocha mpya wa timu ya taifa ya raga ya wachezaji saba Kevin Bling wambua amefanya mabadiliko kwenye kikosi kitakachoshiriki mashindano ya kufuzu Olimpiki mwaka ujao. Bling ameorodhesha wachezaji tisa wapya wakiwemo watatu wa akiba kwenye timu inayoekelea zimbabwe siku ya Alhamisi.