Wanawake wamehimizwa kuwa mstari wa mbele katika kupigania malipo bora sehemu zao za kazi.

  • | KBC Video
    19 views

    Wanawake wamehimizwa kuwa mstari wa mbele katika kupigania malipo bora sehemu zao za kazi. Naibu Mkurugenzi wa masuala ya wanawake katika Umoja wa Mataifa kanda ya Afrika, Anna Mutavati anakiri kwamba ipo haja ya kuwawezesha wanawake ili kuziba pengo kuhusu malipo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive