Wabunge wa Wiper katika bunge la Kitui wazua mzozo baada ya chama hicho kubadilisha kinara

  • | K24 Video
    44 views

    Wabunge wa chama cha Wiper katika bunge la Kitui wamezua mzozo baada ya chama hicho kubadilisha kinara na kiranja wa waliowengi katika bunge hilo. Msimamo huo umepingwa na viongozi wa Wiper waliokuwa wameshilia nyadhifa hizo wakisema mabadiliko yalifanyika kinyume na sheria.