Vitambulisho vya kidijitali kuzinduliwa mwishoni mwa mwezi huu kama ilivyoratibiwa

  • | K24 Video
    2 views

    Vitambulisho vya kidijitali vitazinduliwa mwishoni mwa mwezi huu kama ilivyoratibiwa, baada ya serikali kusikiza kilio cha mashirika ya kijamii. Awali mashirika hayo yaliapa kupinga vitambulisho hivyo kwa msingi kuwa mchakato ulikiuka sheria na haukuzingatia kuhusisha umma na vilevile kuwapa hakikisho la usalama wa data zao ,maswala ambayo serikali imesema inashughulikia.