Watoto wawili wafariki baada ya kuzama kwenye kidimbwi cha maji

  • | K24 Video
    33 views

    Watoto wawili wenye umri wa miaka minne na mitatu mtawalia wamefariki baada ya kuzama kwenye kidimbwi cha maji walipokuwa wanaogelea eneo la Bargoni kaunti ya Lamu. Wakaazi wanamlaumu mkandarasi anayejenga barabara eneo hilo kwa kuchimba vidimbwi vingi na kuviacha wazi msimu wa mvua