Bunge la Uganda lapendekeza raia kushtakiwa kijeshi, Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    548 views
    Bunge la Uganda limeidhinisha mswada wenye utata ambao utaruhusu Jeshi kuwafungulia mashitaka raia katika mahakama ya kijeshi. Upinzani nchini Uganda una wasiwasi kuwa serikali itatumia sheria hiyo kuwahukumu wakosoaji wa Rais Yoweri Museveni ambaye amekuwa madarakani kwa kwa karibu miaka arobaini sasa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw