Wanakijiji cha Nyamondo kaunti ya Kisii wateketeza nyumba tano za washukiwa wa wizi

  • | Citizen TV
    2,599 views

    Wanakijiji cha Nyamondo kaunti ya Kisii wameteketeza nyumba tano za washukiwa wa wizi wakiwalaumu polisi kwa kutowajibika. maafisa wa usalama wamefanikiwa kuwakamata washukiwa wawili kuhusiana na utovu wa usalama maeneo hayo.