Ardhi iliyonyakuliwa Nakuru yarejeshewa serikali

  • | Citizen TV
    161 views

    Tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC imetwaa ardhi yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 300 iliyokuwa imenyakuliwa mjini Nakuru. Ardhi hiyo iliyoko katikati mwa mji wa Nakuru ilikabidhiwa watu binafsi miaka ya tisaini na kisha kumilikiwa na kampuni kadhaa. Ardhi hiyo kwa sasa ina nyumba ishirini ambazo zinatumiwa na maafisa wa serikali