19 Sep 2025 1:12 pm | Citizen TV 113 views Duration: 1:38 Baadhi ya Wakaaji wa Vijiji vya Mbututia na Antuambui Eneo la Igembe Kaskazini, Kaunti ya Meru wanalalamikia kukosa Fidia Kutoka kwa KWS ya hasara ya Ndovu kuharibu mashamba yao.