Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kenya kwanza watetea mikutano ya Ikulu

  • | KBC Video
    62 views
    Duration: 1:47
    Viongozi wanaogemea mrengo wa Kenya Kwanza wameendelea kutetea mikutano ya ikulu ya Rais William Ruto na makundi mbalimbali. Wakizungumza katika Kaunti ya Pokot Magharibi wakati wa hafla ya uwezeshaji, viongozi hao wakiongozwa na spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula, walisema Ikulu ni ya Wakenya wote. Walikashifu wale wanaokosoa programu za uwezeshaji wa serikali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive