23 Sep 2025 10:06 am | Citizen TV 3,253 views Duration: 1:21 Polisi mjini Nyeri wanamzuilia jamaa mmoja anayeaminika kujihusisha pakubwa, na biashara ya ununuzi na uuzaji wa simu za wizi.