- 34,278 viewsDuration: 3:40Shughuli ya kuondoa miili ya watu 11 walioangamia kwenye ajali ya ndege iliyotokea leo asubuhi katika eneo la Tsimba Golini, kaunti ya kwale ingali kuanza huku mvua kubwa inayonyesha ikitatiza shughuli hiyo. Ndege hiyo iliyokuwa imewabeba watalii kumi kutoka hungary na ujerumani pamoja na rubani mkenya, ilianguka dakika kumi baada ya kupaa kutoka katika uwanja mdogo w andege wa Diani. Katibu wa Idara ya Uhamiaji Belio Kipsang ametoa hakikisho kuwa anga za Kenya ziko salama.