23 Sep 2025 10:08 am | Citizen TV 22 views Polisi mjini Nyeri wanamzuilia jamaa mmoja anayeaminika kujihusisha pakubwa, na biashara ya ununuzi na uuzaji wa simu za wizi.