23 Sep 2025 10:20 am | Citizen TV 161 views Duration: 2:01 Walimu wa Sekondari Msingi (JSS)kutoka kaunti ya Meru wameirai Serikali kuzipa Shule za Sekondari Msingi Uhuru wa kujisimamia, kutokana na kile wanataja ni kunyanyaswa wakiwa chini ya mabawa ya Shule za Msingi.