- 204 viewsDuration: 1:57Mipango ya serikali kuu ya kuweka shule za sekondari msingi chini ya usimamizi wa shule za msingi imekashifiwa na walimu wa shule hizo katika kaunti ya Busia huku wakitishia kusambaratisha shughuli za masomo iwapo sera hiyo itapitishwa kuwa sheria.