24 Sep 2025 10:18 am | Citizen TV 254 views Duration: 1:12 Kamishena wa Kitui Kipchumba Ruto amewaongoza viongozi kujadiliana kuhusu mpango wa kuimarisha usalama wakati wa sherehe za mashunjaa ambazo zitaandaliwa katika kaunti ya Kitui mwezi ujao.