Jinamizi la ajali ya barabarani Budalangi

  • | K24 Video
    178 views

    Sherehe za krismasi katika eneo bunge la Budalangi kaunti ya Busia zimeingia doa baada ya watu wanne wakiwemo wanafunzi wa shule za upili kupoteza maisha yao leo asubuhi kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea katika barabara ya Mundere Port Victoria baada ya lori la mchanga kupoteza mulekeo na kuwagonga wanne hao karibu na mkahawa wa roxy.