Morara Kebaso aionya serikali dhidi ya njama yoyote ya kuiba kura kwenye uchaguzi mkuu wa 2027

  • | NTV Video
    9,144 views

    Kiongozi wa chama cha Inject Morara Kebaso ameionya serikali dhidi ya njama yoyote ya kuiba kura kwenye uchaguzi mkuu ujao wa mwaka wa 2027.

    Kebaso na viongozi wengine chipukizi kama vile Kasmuel McOure wameshikilia kuwa rais William Ruto ni rais wa muhula mmoja

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya