Wahudumu wa afya chini ya mpango wa afya kwa wote yaani UHC watishia kugoma

  • | NTV Video
    106 views

    Kuanzia tarehe 20 mei, 2025 huenda ukakosa huduma za dharura na mwafaka katika hospitali za umma nchini. Hii ni baada ya wahudumu wa afya chini ya mpango wa afya kwa wote yani UHC kutishia kugoma.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya