- 61 viewsDuration: 1:52Tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC imemkamata msajili wa ardhi katika kaunti ya Busia Collins Liyayi. Liyayi alifumaniwa akipokea hongo ya shilingi elfu 10 kutoka kwa mteja aliyehitaji huduma ofisini mwake. Simon Achola na tarifa kamili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive