25 Sep 2025 10:12 am | Citizen TV 300 views Duration: 2:09 Viongozi wa muungano wa walimu wa shule za upili na vyuo anwai - KUPPET- tawi la Garissa pamoja na walimu wa sekondari msingi wameendeleza shinikizo kwa serikali kuwapa uhuru ili wajisimamie wenyewe.