- 193 viewsDuration: 1:50Rais William Ruto amesema kuwa mataifa ya bara Africa yanafaa kufanya kipaumbele shinikizo la ufadhili wamiradi endelevu ya kawi safi barani akizungumza pembezoni kwa kongamano la umoja wa mataifa la marais linaloendelea jijini Newyork, Marekani , Rais Ruto amesema kuwa uhifadhi wa mazingira unachangia pakubwa ustawi wa kiuchumi