Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa wahadhiri katika vyuo vikuu waingia siku ya tisa hii leo

  • | Citizen TV
    288 views
    Duration: 3:18
    Mgomo wa wahadhiri ukiingia siku ya tisa hii leo, wahadhiri pamoja na wafanyikazi wa vyuo vikuu bado wanashikilia kuwa hawatarejea kazini hadi pale serikali itakapowalipa shilingi bilioni 7.9. Wahadhiri na wafanyikazi hao wamemkashifu waziri wa elimu migos ogamba kwa kutoa vitisho bila suluhu.