Skip to main content
Skip to main content

Idara ya magereza yaweka juhudi kuimarisha magereza

  • | Citizen TV
    232 views
    Duration: 1:34
    Kama njia moja ya kuhakikisha wafungwa wanakaa katika mazingira bora magerezani, idara ya kurekebisha tabia inaendeleza mpango wa kusambaza vitanda elfu 20 katika magereza yote nchini