25 Sep 2025 10:16 am | Citizen TV 244 views Duration: 1:56 Baadhi ya viongozi wa kijamii katika eneo la Mrima wa Ndege eneo bunge la Ganze kaunti ya Kilifi wanaitaka serikali kujenga ua katika hifadhi ya wazee waliotorokea katika msitu wa Godoma kwa tuhuma za uchawi.