25 Sep 2025 10:18 am | Citizen TV 311 views Duration: 1:17 Idara ya afya katika kaunti ya bomet imeanzisha msako mkali dhidi ya hoteli na wauzaji chakula kufuatia kuongezeka kwa wagonjwa wanaoathirika na sumu kupitia chakula.