Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa kijiji cha Mwachome kaunti ya Kwale wawasilisha kesi dhidi ya ardhi

  • | Citizen TV
    259 views
    Duration: 1:43
    Wakaazi 48 wa kijiji cha Mwachome katika kaunti ya Kwale wamewasilisha kesi mahakamani kuishtaki kampuni ya saruji ya Bamburi Cement wakidai ilikiuka mkataba wa maelewano wa ardhi , walioafikiana miaka mitatu iliyopita.