- 429 viewsDuration: 20:05Changamoto, maendeleo na siasa katika jamii ya Maa Viongozi wa Maa wasifia miradi ya barabara na maji Elimu bado inakabiliwa na changamoto za mila na desturi Serikali na upinzani zinang'ang'ania kura za jamii ya Maa Magavana Lenku na Ntutu waapa kuunganisha jamii ya Maa Magavana hao wawili wanampigia debe Rais William Ruto