- 635 viewsDuration: 1:16Kanisa la Kianglikana nchini (ACK) limeitaka serikali kuchukua hatua za haraka kushughulikia mgogoro unaozingira Bima ya Afya SHA kufuatia ripoti za kusitishwa kwa huduma katika hospitali za kibinafsi kutokana na kucheleweshwa kwa malipo. Askofu Mkuu wa ACK, Jackson Ole Sapit, akiangazia mustakabali wa taifa ameelezea wasiwasi mkubwa kuhusu madhara yanayoongezeka katika sekta ya afya, akionya kuwa maisha ya Wakenya yako hatarini .