Skip to main content
Skip to main content

Tangi la maji lauwa watu wawili Juja

  • | Citizen TV
    10,128 views
    Duration: 1:11
    Watu wawili wamepoteza maisha huko Juja kaunti ya Kiambu baada ya tangi la maji walilokuwa wakikarabati kuporomoka huku mfanyakazi mwingine akijeruhiwa vibaya.