Skip to main content
Skip to main content

Wanawake wasusia kupata watoto

  • | Citizen TV
    489 views
    Duration: 1:45
    Asilimia 46 ya wanawake wa umri wa kupata watoto nchini hawataki kupata watoto zaidi, huku asilimia 30 wakipendelea kuchelewesha ujauzito unaofuata baada ya kujifungua. Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa serikali uliowasilishwa na afisa wa Idara ya Afya ya Uzazi, Mama, Mtoto, Vijana na Lishe katika Wizara ya Afya, Dkt. Edward Serem.