- 2,607 viewsDuration: 1:16Utafiti wa hivi punde wa kura ya maoni unaonyesha kuwa wakenya wengi zaidi asilimia 57% wanasema kuwa taifa linaenlekea pabaya.Sababu kuu zinazotajwa ni gharama kubwa ya maisha, utawala mbaya, na ukosefu wa ajira ambao unaongoza pwani na nairobi.