Wafugaji wakuza nyanya Samburu

  • | Citizen TV
    547 views

    Huku tatizo la uvamizi wa wizi wa mifugo likisalia kuwahangaisha wakaazi wa Kaunti ya Samburu na vitengo vya usalama,hali hiyo imewashinikiza baadhi ya wafugaji kuasi Ufugaji na kuanza kilimo cha mimea mbalimbali ikiwemo uzalishaji wa nyanya.