TSC yahamisha walimu 17 kufuatia uvamizi wa wazazi shuleni

  • | K24 Video
    92 views

    Walimu 17 wamehamishwa na tume ya kuajiri walimu TSC kutoka shule ya sekondari ya St.Gabriel Isonga, kaunti ya Kakamega. Hii ni baada ya wazazi kuzua vurugu na kufurusha mwalimu mkuu na walimu wa shule hiyo hivi majuzi wakiwalaumu kwa matokeo duni ya katika mtihani wa KCSE. Hatua hiyo imeiacha shule hiyo katika hali ngumu zaidi kwani haina tena walimu wa kutosha.