26 Sep 2025 3:28 pm | K24 Video 7,793 views Duration: 46s “ Kila mtoto, uwe umezaliwa kwa nyumba ya matope, uwe umezaliwa kwa nyumba ya dhahabu; Kila mtu ako na nafasi ya kuongoza hili taifa letu la Kenya.”- Uhuru Kenyatta