Amy na Ano ni mapacha wanaofanana, lakini baada tu ya kuzaliwa walichukuliwa kutoka kwa mama yao na kuuzwa kwa familia tofauti.
Miaka kadhaa baadaye, walijuana kwa bahati kupitia onesho la vipaji katika televisheni na video ya TikTok.
Waligundua maelfu ya watoto wachanga huko Georgia waliibiwa kutoka hospitalini na kuuzwa.
Walisafiri kutoka Georgia hadi Ujerumani, kwa matumaini ya kumpata 'mama yao mzazi'
#bbcswahili #georgia #mapacha
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Health Cabinet Secretary (CS) Aden Duale has announced plans to set up a joint committee with the CEOs of insurance companies across the country to tackle fraudulent activities that have been plaguing the Social Health Authority (SHA).
18 Aug 2025
- President William Ruto has vowed to ensure that Members of Parliament and Senators behind an extortion scheme called soko huru are apprehended.
18 Aug 2025
- The death toll from a blast at a gunpowder plant near Moscow rose to 20, with more than 100 wounded, the authorities said on Monday, as a probe began into possible industrial safety violations.