Shuhudia nyuso za watu zilivyopatwa na furaha baada ya mikwaju ya penati kupigwa ambapo ilisababisha Ivory Coast kushinda 5 kwa 4 dhidi ya Senegal.
Hawa ni mashabiki kutoka katika mji wa San Pedro waliokuwa wakifuatilia mpira kupitia runinga kubwa zilizowekwa kwenye eneo lililotengwa kwaajili ya mashabiki kuangalizia mpira bure.
Mataifa hasimu haya kisoka yalishuka dimbani katika uwanja wa Charles Konan Banny katika mji wa Yamoussoukro.
Mwandishi wa BBC @frankmavura aliyepo nchini Ivory alishuhudia sh@frankmavura -
#bbcswahili #afcon #ivorycoast
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Health Cabinet Secretary (CS) Aden Duale has announced plans to set up a joint committee with the CEOs of insurance companies across the country to tackle fraudulent activities that have been plaguing the Social Health Authority (SHA).
18 Aug 2025
- President William Ruto has vowed to ensure that Members of Parliament and Senators behind an extortion scheme called soko huru are apprehended.
18 Aug 2025
- The death toll from a blast at a gunpowder plant near Moscow rose to 20, with more than 100 wounded, the authorities said on Monday, as a probe began into possible industrial safety violations.