Kipindupindu ni ugonjwa hatari lakini unaotibika, Je ni kwanini ugonjwa huu unaoweza kuzuiwa unaua watu nchini Zambia?
Zaidi ya watu milioni moja wanakadiriwa kuambukizwa kila mwaka.
Afghanistan na Syria zimekumbwa na mlipuko huu lakini umeathiri sana katika baadhi ya nchi za Afrika.
Miongoni mwa nchi za zinazopambana na mlipuko huu ni Zambia, ambayo imezindua kampeni kubwa ya chanjo hivi karibuni.
#bbcswahili #zambia #afya
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Health Cabinet Secretary (CS) Aden Duale has announced plans to set up a joint committee with the CEOs of insurance companies across the country to tackle fraudulent activities that have been plaguing the Social Health Authority (SHA).
18 Aug 2025
- President William Ruto has vowed to ensure that Members of Parliament and Senators behind an extortion scheme called soko huru are apprehended.
18 Aug 2025
- The death toll from a blast at a gunpowder plant near Moscow rose to 20, with more than 100 wounded, the authorities said on Monday, as a probe began into possible industrial safety violations.